Mwanamke aliyeuawa kwa kupigwa mawe kuzikwa kesho
Mwanamke aitwaye Angel Mwaisumwa, aliyeuawa na wananchi kumpiga mawe Juni 10, 2022, wilayani Kiteto kwa tuhuma za kununua viungo vya binadamu atazikwa Jumatatu katika Kijiji cha Matui wilayani humo baada ya familia yake kushindwa kumsafirisha kwenda kwao Mbeya.