Thompson amsifu Curry kwa kiwango bora

Steph Curry kushoto, Klay Thompson kulia

Nyota wa Golden State Warriors Klay Thompson amesema kwenye mchezo wa 5 wa fainali ya NBA wanapaswa kufunga zaidi ili kumsaidi Stephen Curry ambaye amekuwa akifunga alama nyingi kwenye kila mchezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS