Madrid yamsajili Tchouameni kwa Bilioni 244

Aurelian Tchouameni

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imekamilisha usajili wa kiungo Aurelian Tchouameni kutoka klabu ya AS Monaco ya Ufaransa. Kiungo huyo amesaini miaka 6 atatambulishwa rasmi Juni 14, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS