Antony na Casemiro warejeshwa timu ya taifa Brazil
Baada ya Carlo Ancelotti kutangazwa kuwa Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, hii leo ametangaza kikosi kuelekea michezo ya kufuzu kombe la dunia 2026 mwezi Juni dhidi ya Ecuador pamoja na Paraguay.