Tusiwape dhamana wanachama wapya - Dr Nyimbi

Katibu wa UWT taifa Dr Philis Nyimbi amewataka wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kutowapa dhamana ya kugombea uongozi wanachama wapya kwa kuwa kufanya hivyo kunawanyima haki wanachama waliokipigania chama wakati Shida na changamoto za kisiasa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS