Sesko ampigia debe Bruno kuwa MVP msimu huu Bruno Fernandez na Benjamin Sesko Mshambuliaji wa Manchester United, Benjamin Sesko, amempa sifa lukuki nahodha wake, Bruno Fernandes (31), akisema anastahili kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu England (2025/26). Read more about Sesko ampigia debe Bruno kuwa MVP msimu huu