Submitted by Dickson on Wednesday , 8th Apr , 2015
Ile Mic ya Planet Bongo wiki hii moja kwa moja kwa mashabiki wa muziki wa Bongo Flava kipi unataka kujua kutoka kwao maoni yao pia kuhusiana na Muziki wa zamani na Muziki wa sasa. Ni Juma Tatu Hii saa 3:00 kwenye Planet Bongo na Mjukuu hapa EATV.