Usikose kuangalia SKONGA kutoka Saku sekondari huko Mbagala Chamazi, wao wanakuelezea sababu za kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania.