Zengwe
Shabiki wa ngumi aliyefanya vituko kwenye masumbwi ya Japhet kaseba na Thomas Mashali. Inasemekana kwamba shabiki huyu amefariki dunia.
Vumbua
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo, asema yeye na wenzake waliokuwa karibu na utawala wa Rais aliyepita wa TFF bwana Leodger Tenga hawatakiwi na utawala wa sasa wa Jamal Malinzi.
Ripoti
Mwanamichezo ya 'kujinyonganyonga' Michael Yoga anayefanyia sanaa yake nchini Ujerumani amesema alipata wafadhili kumsaidia kujenga chuo kwa ajii ya vijana wa kitanzania. Lakini Serikali haikumpa ushirikiano.