Ripoti
Serikali yasema wanamichezo walioko nje kwa kambi maalumu kujiandaa na 'Madola' wanaendelea vizuri na mafunzo yao. Naibu mkurugenzi wa maendeleo ya michezo wa wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo mama Juliana Matagi Yassoda amethibitisha.
Zengwe
Mjumbe wa kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba, Amin Bakhressa, amekumbushia historia ya mgombea aliyeenguliwa katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo bwana Michael Richard Wambura
Vumbua
Mkuu wa majeshi mstaafu, Jen. Mstaafu George Waitara atoa wito kwa vyombo vya habari kuripoti mchezo wa gofu ili watu waufahamu na kujiunga.