MAKUNDI YALIYOSIRIKI
Haya ndio makundi yaliyojitokeza ndani ya usaili wa Kwanza wa Dance 100% (2015). Hatari tupu
Best Boys Kaka Zao wakitupa karata yao
Kama unakumbuka Kundi hili lilishiriki na kufika Fainali mwaka jana na mwaka huu tayari wamefanikiwa kuingia Robo Fainali.