FNL MZUKA LADY JAY DEE
Lady Jay Dee akiwa anatoa burudani ya wimbo wa Yahaya ndani ya FRIDAY NIGHT LIVE
FNL MZUKA LADY JAY DEE-MASWALI KUMI
Lady Jay Dee amefunguka maswali Kumi (10) aliyoulizwa na Sam Misago mtangazaji wa FRIDAY NIGHT LIVE
Lady Jay Dee akitoa burudani ya wimbo wake mpya wa ndi ndi ndi.
FNL MZUKA LADY JAY DEE - KUHUSU YAHAYA
Lady Jay Dee amesema kuwa hadi sasa hivi hajawahi kuonana na Yahaya tangia wimbo wake utoke na hata akikutana naye hadhani kama wanaweza kusalimiana.