NJE YA BOX
Msanii wa Bongo Fleva 'Sheta' amaeongea na Planet Bongo nakusema kwanini aliamua kumpiga busu kubwa Mke na Picha hiyo kusambaa katika mitandao ya kijamii.
KITENGO
Mtayarishaji wa Muziki 'SHIRKO' toka Studio Ya Mkubwa na Wanae ameweka wazi ni jinsi game kipaji chake hakikuwahi kuthaminika huko nyuma, pia nani alithamini kipaji chake.
TATU CHAFU
Mwanamuziki anaefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Flava kwa miondoko ya RnB 'Belle 9' amejiachia kwenye Planet Bongo nakutaja anavutiwa na filamu gani,mchezo na Video gani kutoka Bongo.