KITENGO - Mwasiti
Planet bongo tukiwa tunasherekea wanawake pamoja na Mwasisi akituelezea changamoto wanazo zipata wanawake ndani ya tasnia ya muziki wa kizazi kipya. Pia umuhimu wa wanawake ndani ya game kuwa na umoja na top video zake.
Mgodi - Kitifa
Mtoto wa kike anae rap sasa akiwa na video yake mpya pale amemshirikisha linex; Kuwa na Kitifa Mgodini.
Usiku Mnene - Navy Kenzo
Akiwemo Naril, Aika na Wista kwenye kundi la Navy Kenzo, pata kuwaona wakifanya yao pale stagini katika usiku mnene.