Ushauri wa bure huu hapa wana SKONGA, unaambiwa kama unakipaji kitumie
Huyu ndiye Mkandarasi mwanafunzi aliyewahi kutambulishwa na show ya SKONGA , ni mwanafunzi kutoka Charambe sekondari
Wimbo uliotumiwa kuleta ujumbe ni kutoka kwa Profesa J, lakini swala kubwa hapa ni huo ujumbe kwamba UKIMWA upo na unaua.