Site
Mafundi ujenzi wamegundua ujenzi mbadala wa achi. Huu ni ujenzi wa maumbo mbalimbali ya nusu duara yanayotengenezwa na mafundi kwenye madirisha, baraza pamoja na milangoni.
Ujenzi mbadala wa achi ni inagarimu kidogo ukilinganisha na Ach ya zege.
Fahari ya Nyumba
Katika ubunifu wa rangi katika nyumba ukitumia rangi za ya moja kwenye nyumba hupendeza sana na huifanya nyumba yako usiichoke katika upeo wa macho yako hasa ukiwa nyumbani.