Mtaa kwa mtaa
Mmoja kati ya wakazi wanaopatikana huku Mikocheni kisiwani, akielezea matumizi ya gesi kwa upande wake na kutofautisha gesi na mkaa.
Salaam
Anaitwa mama Zahoro, mmoja kati ya wafanyabiashara ya mkaa ambao wanapatikana huku Mikocheni kisiwani, akiongelea baadhi ya wateja wanaokuja kukopa kisha kukimbia na deni.
.com
Asikwambie mtu kituu, vipaji vingi vinatokea huku Uswazii, huyu hapa Chakupewa akitoa darasa juu ya theory yake aliyogundua jinsi ya kutoa meli zilizozama, pamoja na kuzuia meli kuzama..