Wanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake wakiwa na mabango kwa ajili ya kuanza maandamano katika kampeni ya kupinga Ukatili.
Baadhi ya Pikipiki zikiwa zimepaki Jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa makanisa ya Kipentekoste Bukoba ,Crodward Edward