Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Issa Machibya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro Jana