Kocha Zinedine Zidane akiteta jambo na Ronaldo katika moja ya michezo ya timu yao.
Katibu Mkuu wa Yanga Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga
Frank Domayo akisaini mkataba na klabu ya Azam