na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Marehemu Bi. Asha Bakari Makame
Aliewahu kuwa Waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi,na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Marehemu Bi. Asha Bakari Makame
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimpokea Dada Neema Mwita Wambura (32) na kuanza mara moja kumfanyia tena uchunguzi wa afya yake katika majeraha aliyoyapata mara baada ya kumwagiwa uji wa moto uliokuwa ukichemka jikoni kitendo kilichofanywa na mume wake.