Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa kwanza kulia) akipokea taarifa ya Ujenzi wa barabara ya Mangaka –Nakapanya.
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa wabunge wanawake wa nchi za Jumuiya ya madola kanda ya kaskazini, Beatrice Shelukindo.
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera John Joseph
Waziri wa TAMISEMI,Mhe George Simbachawene,