Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua kituo cha mabasi yaendayo haraka UDART cha Kimara jijini Dar es salaam.
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.
Mzigo wa miwa ukiwa tayari umeshushwa kutoka kwenye gari la mizigo katika soko la Tandale.