Pata kuona jinsi timu ya The Mboni show ilivyowapatia msaada hospitali ya Amana ikiwa ni pamoja na kukarabati majengo yao wakati kipindi kinaadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa.