Submitted by Basilisa on Friday , 29th Aug , 2014Jumatatu hii ndani ya kipindi cha Ujenzi tutakuwa tukiangalia jinsi ya kujengea vigae kwenye sakafu.Pia fundi ataelezea njia bora ya kujengea kigae kwenye ukuta au sakafu.