Ndani ya Wanawake Live Jumanne hii ni mjadala juu ya mwenendo wa bunge la katiba huku wakinamama wakitoa rai ya wabunge wanawake kusimamia maswala ya msingi yahusuyo wanawake yaweze kuwemo katika katiba mpya.