Birthday ya Mama yake Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa Wema Sepetu ilijawa na 'surprise' za kutosha ikiwemo zawadi ya gari toka kwa Diamond ambayo ilikabidhiwa na Wema. usiksoe.