QUICK PROFILES

ISSA ALLY HAMADY
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 8 Nina kaka 3 na dada 3

Ninaishi MBURAHATI na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa ID - MAUWEZO

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DJ

 

RAMADHANI MOHAMEDI
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi MABIBO na MJOMBA

Mtaani kwangu najulikana kwa RAMA GAGA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: DANCER

MUSTAPHA YAKHAYA
+

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 Nina Kaka 3 na dada 2

Ninaishi MABIBO na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa VIVA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA (7) SABA.

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: DANCER

 

JUMA SAID
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 2

Ninaishi KIGOGO YA KATI na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa TERANO

Mimi nimesoma mpaka DARSA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: DANCER

 

 

Group Videos

TATANISHA DANCERS- NUSU FAINALI
TATANISHA DANCERS- NUSU FAINALI
Play Video
TATANISHA DANCERS- NUSU FAINALI

Ndani ya nusu fainali walifanya hivi.

ROBO FAINALI - Tatanisha Dancers
ROBO FAINALI - Tatanisha Dancers
Play Video
ROBO FAINALI - Tatanisha Dancers

Vijana kutoka Mabibo hao.