QUICK PROFILES

SHAIBU BAKARI
+

Nimeazaliwa mwaka 1998 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya 6 Nina kaka NDIO na dada NDIO

Ninaishi YOMBO VITUKA na MAMA NA BABA 

Mtaani kwanu najulikana kwa SHAIBU

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: NAIGIZA

 

MICHAEL VICENT
+

Nimezaliwa mwaka 1997 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Nina kaka 1 na dada 4

Ninaishi na WAZAZI WANGU WOTE WAWILI 

Mtaani kwangu najulikana kwa MASE / MCHINA

Mimi nimesoma mpaka FORM 3 NA BADO NAENDELEA

Shughuliz angu za kila siku(zaidi ya kucheza dansi) ni: NAFANYA KAZI ZA NYUMBANI

 

 

 

 

HAMISI
+

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya  TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Nina 

Ninaishi TEMEKE na MAMA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA 7

Shughuli zangu za kila (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUIGIZA

 

MIKIDAD YAHAYA
+

Nimezaliwa mwaka 1998 Wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika famili ya watoto 4 Nina kaka 1

Ninaishi MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa DADI

Mimi nimesoma mpaka 7

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUCHEZA MPIRA

 

SALUMU ABAS
+

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mkoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina kak NDIO na dada NDIO

Mtaani kwangu najulikana kwa SALU BOY

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA PILI NA BADO NAENDELEA KUSOMA

Shughulizangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MPIRA

 

YAHAYA JAFARI
+

Nimezaliwaq mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni toto wa 7 katika familia ya watoto 8 Nina kaka MDOGO na dada SAMIA

Ninaishi YOMBO VITUKO na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa YOHANA

Mimi nimesoma mpaka 7

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni KUIGIZA

SADAM MOHAMED
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 nina kaka 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa SADAM 

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku n(zaidi ya kucheza dansi) ni: KUIMBA

 

Group Videos

THE WINNERS- TANO BORA
THE WINNERS- TANO BORA
Play Video
THE WINNERS- TANO BORA

Hivi ndivyo kundi la The Winners walivyotinga Fainali

NUSU FAINALI - The Winners
 NUSU FAINALI - The Winners
Play Video
NUSU FAINALI - The Winners

Mwaka jana hawa walifanikiwa kuingia Fainali. Unadhani mwaka huu watafanikiwa pia?

ROBO FAINALI - The Winners
ROBO FAINALI - The Winners
Play Video
ROBO FAINALI - The Winners

Tiketi ya the Winners kuingia Nusu fainali waliipata hii.