Mama huyo mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka wa 2008 lakini nchini Ubelgiji sheria inaruhusu watu kuchagua kuuawa ikiwa watachukuliwa kuwa na matatizo ya kisaikolojia "yasiyovumilika", na si tu mateso ya kimwili, ambayo hayawezi kuponywa.
Lhermitte alichagua kufariki tarehe 28 Februari kama ishara ya kuheshimu watoto wake.
Genevieve alimuua mwanawe wa kiume na binti wanne, wenye umri wa miaka mitatu hadi 14, katika mji wa Nivelles tarehe 28 Februari 2007




