Jumapili , 29th Aug , 2021

Mzee Peter Itunga ni mkazi wa eneo la Mwananchi Tabata Dar es salaam, akiwa kama mmoja wa watu walionusurika kwenye ajali ya lori kuacha barabara na kugonga nyumba yake, ameeleza jinsi ilivyokuwa.

Mzee Peter Itunga, mkazi wa eneo la Mwananchi Tabata Dar es salaam

Zaidi tazama Video hapo chini