Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko
Hatua hiyo imekuja baada wafanyakazi wanaotekeleza ujenzi wa mradi huo kuiomba serikali kuingilia kati madai yao ya kutopewa mikataba,kunyimwa vifaa vya kazi na kunyanyaswa na mkandarasi wa Kampuni ya CCECC ili waweze kupata haki zao.
Tazama hapo Mkuu wa Wilaya akiongea






