Jumatatu , 15th Dec , 2025

Mageme mwenye umri wa miaka 56 mkazi wa kijiji cha Mwamugesha ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Itilima kwa kosa la kutishia kuua kwa maneno kinyume na kifungu cha 89(2) (a) na (b) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2023.

Mahakama ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu Dunili Mageme kwenda jela miezi tisa (9) kwa kosa la kutishia kumuua baba yake mzazi huku kisa kikitajwa kuwa kutaka kuuza maeneo ya baba yake.