Jumatatu , 14th Mei , 2018

Muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu amebadilishiwa adhabu na mahakama, na kupewa kifungo cha nje.

East Africa Television imezungumza na Afisa Habari wa Jeshi la Magereza Lucas Mboje na kuthibitisha taarifa hiyo, ambapo amesema tayari muigizaji huyo yuko nje, na taarifa juu ya kubadilishiwa adhabu yake itatolewa rasmi muda si mrefu, ambayo itaeleza sababu za kufanya hivyo.

 

Muigizaji Elizabeth Michael alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela mnamo Nov 2017, kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba,