
Baadhi ya majirani wanasema mama huyo alimnyonga mtoto wake huku yeye na mtoto wakiwa uchi na kukimbilia porini ndio majirani walipomkimbiza na kumchukua mtoto lakini alikuwa tayari amefariki
Kaimu Kamanda jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Nicodemus Katembo amesema mtuhumiwa atafikishwa mahakamani pindi uchunguzi utakapokamilika