Jumanne , 1st Feb , 2022

Mgombea wa kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka chama cha SAU Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza kiti hicho atahakikisha anapunguza vikao na kuongeza posho za wabunge.

Kunje Ngombale Mwiru

Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari Mosi, 2022, wakati akiomba kura kwa wabunge Bungeni jijini Dodoma.

Tazama video hapa chini