Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba
Aidha Rais Samia amemuhamisha Waziri Kindamba kutoka kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe na kwenda kuwa Mkuu wa Tanga.
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa leo Februari 26, 2023 imeeleza mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa na Rais kama inavyosomeka hapo chini.





.jpg?itok=5cvL0YaP)