
Hii ndiyo Bodaboda yenye TV

Mfungaji wa bao la kusawazisha la Taifa Stars dhidi ya Tunisia, Feisal Salum (Pichani) katika moja ya mechi ya timu ya Taifa.

Taifa Stars wakiwa mazoezini kujiwinda na Tunisia

Rais wa CECAFA, Wallace Karia(Pichani) akizungumzia matayarisho ya mashindano ya vijana yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru.

Nyota wa Houston Rockets, James Harden ambaye anatajwa atatimka klabuni hapo.

Mkurugenzi wa sheria wa klabu ya Yanga, Patrick Simon(Katikati) akiwa na Benard Morrison (Kushoto) na wakala wake Steven (Kulia) enzi wakiwa wanafanya kazi kwa pamoja.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare.

Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari wakati wa uhai wake.