Jengo la ubalozi wa Nigeria nchini Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nnje wa Nigeria, Geoffrey Onyema amewataka raia wa Nigeria kufika katika ubalozi wa Nigeria nchini Ukraine, na utaratibu wa kurudi utaanza viwanja vitakapofunguliwa.
Baadhi ya raia wa Nigeria ambao wapo nchini Ukraine wamegoma kurudi kwao na kutaka kubaki huko huko licha ya nchi hiyo kuingia katika vita na Urusi.