Jumapili , 17th Jan , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Steven Justice Nindi kuanzia leo, Januari 17, 2020, na nafasi iyo itajazwa hapo baadaye.

Rais Magufuli

Soma zaidi taarifa ya Ikulu hapo chini