Ijumaa , 10th Sep , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nafasi 10 za Rais.

Dk. Stergomena Lawrence Tax

Dk. Stergomena amewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye alimaliza muda wake Agosti 2021.

Soka taarifa kamili ya Ikulu