Bendera ya nchi ya Ukraine
Taarifa hiyo imetolewa hii leo Februari 25, 2022, na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini wa Wizara hiyo, Emmanuel Buhohela, na kwamba serikali pia imewashauri Watanzania walioko huko kufuata maelekezo yote yanayotolewa na Ukraine, pamoja na kuendelea kuwasiliana na Ubalozi wa nchini Sweden ambao unaiwakilisha Ukraine kwa jambo lolote la dharura.


