
Wakenya wakisubiri kupiga kura
Taarifa hiyo imetolewa ikiwa Wakenya hii leo wanapiga kura kuamua ni nani aongoze kwa miaka mitano ijayo, na polisi wamesisitiza ni muhimu kwa raia kutii shera na kuiacha amani itawale katika zoezi hilo.
Jeshi la polisi limesema kwamba wakati wa kampeni baadhi ya wagombea waliwataka wananchi kubaki vituoni ili kulinda kura