Jumatatu , 28th Feb , 2022

Wizara ya Ulinzi nchini Ukraine imedai kwamba zaidi ya wanajeshi 5,000 wa Urusi wamepoteza maisha tangu kuanza kwa mashambulizi kati ya nchi hizo mbili.

Wanajeshi

Ambapo mbali na vifo hivyo, jeshi la Ukraine pia limedai kuharibu vifaru 191, ndege za kivita 29, helikopta 29 na shehena 816 za kivita.