Kushoto ni Mkuu wa Vodacom kanda ya Dar es salaam na Pwani, Brigita Stephen akiwa na mfanyakazi mwenzake wakati wa uzinduzi wa duka.
Akizungumza mara baada ya kuzindua duka hilo mkuu wa kanda ya Dar es salaam, Brigita Stephen, anesema duka hilo litatoa huduma zote kwa wateja wake kulingana na hitaji la mteja
“Duka hili ni mkombozi kwa wateja wa Vodacom kwa kuwa sasa watapata huduma zilizo bora kama zinavyotolewa kwenye maduka nengine ya Vodacom” amesema Brigita
Brigita ameongeza kuwa wafanyanyabiashara wadogo waliopo maeneo hayo pamoja na wateja wengine wa Vodacom watanufaika na huduma katika duka hilo hivyo itakua haina haja ya wateja wa vodacoma kuzunguka kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali