Aidha Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema waenda kwa miguu na wenye vyombo vya moto, watapita bure kwenye daraja la Tanzanite ambalo limejengwa juu ya bahari kutoka Aga Khan hadi Osterbay Dar es salaam.
Zaidi tazama video hapo chini



