Jumatatu , 1st Nov , 2021

Wanaume wawili mkoani Ruvuma wamewauwa wake zao ambapo mmoja amemkata na shoka na mwingine kumpiga mpaka kumuuwa. 

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, Pili Mande

Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma Pili Mande, na kusema kwamba jeshi hilo linawatafuta watuhumiwa hao na kwamba matukio yotehayo yametokea ndani ya wiki moja

Tazama video hapa