Ijumaa , 19th Aug , 2022

Vimbunga vikali kabisa vimepiga katikati mwa bara la ulaya na kupelekea vifo vya watu 12 wakiwemo watoto 3

Vifo vingi vimesababishwa na miti iliyoanguka ambavyo vimeripotiwa katika nchi za Italia, Austria, pamoja na visiwa vya Ufaransa vya  Corsica

Mvua kubwa na upepo mkali vimepiga katika visiwa hivyo  na kuleta uharibifu mbaya

Majanga hayo ya kimbunga yanafuatia wiki kadhaa za ukame na joto kali lililorindima katika bara la ulaya

Nyumba za watu zimeharibiwa vibaya, huku mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 13 akipoteza maisha kwa kuangulkiwa mna mti