Watu hao ambao bado hawajafahamika kwa majina yao ni dereva mmoja na Mwanamke mmoja ambaye mwili wake umeungua na moto
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa amefika eneo la ajali na kuwasihi madereva kuendelea kuwa waangalifu wakiwa barabarani
Miili ya marehemu hao imehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mji wa Mafinga





.jpg?itok=5cvL0YaP)