Jumatano , 27th Oct , 2021

Harmonize ameachia 'Cover' pamoja na list ya nyimbo 20 ambazo zinapatikana kwenye albamu yake ‘High School’ inayotarajiwa kutoka Novemba 5 mwaka huu huku ikiwa na kolabo 6 pekee.

Picha ya Msanii Harmonize

Kwenye albamu hiyo ya pili ya Tembo amewapa mashavu Sarkodie kutoka Ghana, Naira Marley (Nigeria), Busiswa Gqulu (Afrika Kusini) huku kutoka Bongo Ibraah, Anjella wote kutoka Konde Gang na Sholo Mwamba.